Yupi mzalendo?


mtarimbo

mtarimbo

Member
Joined
Jul 12, 2015
Messages
62
Likes
93
Points
25
mtarimbo

mtarimbo

Member
Joined Jul 12, 2015
62 93 25
Serikali iliyopo madarakani inadai ukombozi wa wananchi kutoka kutawaliwa kwa utawala wa bendera toka kwa makaburu na upande mwingine upande wa kambi ya upinzani wanataka ukombozi wa wananchi kutoka kutawaliwa na serikali iliyopo madarakani, hii sayansi mzungu aliiweza sana maana hakuna hata mwananchi anaelewa nani mkweli ndo maana kamwe mtu mweusi hataweza kuungana na kufanya jambo moja.

Mtu bora upambane na hali yako haya mambo ya siasa ni mazito na ukitaka kujua muulize muheshimiwa John Cheyo, mzee huyu tulimshauri sana kipindi ile na hata mkewe asiingie kwenye haya mambo mwishowe bwana mapesa amekua kama mbwa koko, tunao wengi tuu wengine mnawajua.

Naamini hata upinzani ukitawala utakuja upinzani mwingine tena wenye nguvu kubwa utawakosoa, walioko na nchi na watapigwa na kuibiwa kura yote haya ni maandiko ya mabepari ili unabii utimie kwamba sisi ni bara la giza.

SAMAHANI NIMEVURUGA VURUGA MADA ILI WANIELEWE WENYE UFAHAMU
 

Forum statistics

Threads 1,238,706
Members 476,123
Posts 29,327,212