Yupi mwenye upendo wa dhati?

Al-watan Musa

Member
Oct 20, 2017
10
10
Mapenzi ni baina ya jinsia mbili- mwanamke na mwanaume,

Ijapo ni Mara chache hutokea mwanaume na msichana wakapendana mapenzi ya dhati na kuvumiliana katika shida na raha.

Ila yapo machafuko katika mahusiano ambayo hadi Leo bado haijajulikana chanzo ni msichana au mvulana na hata maoni ya watu yanajikita zaid katika jinsia.

Wanaume watasema wanawake ndo chanzo na wanawake watasema wanaume ndo chanzo.

Sasa Leo nahitaji busara itumike, bila kupendelea jinsia yako ebu nambie we unazan nani mwenye upendo wa dhati kati ya mwanaume na mwanamke.

Na nani ndo chanzo cha machafuko ya kimahusiano kati ya mvulana na msichana?
 
Mwenye upendo wa dhati kwa asilimia 60 ni mke na 40 ni mume! Ila suala la machafuko inategemea namna mnavyoishi hili liko 50/50 inategemea ,mke ktk upendo anakua na hisia ila mume hutamani na ndio maaana huwa tunagegeda wengi tusio wapenda
 
Back
Top Bottom