yupi mwenye afadhali

Zneba

Senior Member
May 12, 2010
192
7
jamani tusaidiane kwenye hili,yupi mwenye afadhali kati ya watu hawa wawili
anayekujali saana tu muda wote anataka kujua unafanya nini anakutext asubuhi na mapema kukujulia hali anakusaidia shida zako zote kwa kifupi anakutekelezea kila kitu,BUT suala la kitandani ni sifuri yani anafika kileleni ndani ya dk mbili akikuacha hoi kwa kutokumaliza hamu
na huyu wa pili yy yupo vizuri mno kitandani anakufanyia kila kitu na mpka unamaliza haja yako vizuri kwa kifupi kitandani yupo fit na kama hujaridhika atajitahidi mpka uridhike,BUT,suala la mawasiliano ni hakuna na hakuonyeshi kama anakupenda ama vipi akikupigia simu asubuhi ni mpk usiku au asikupigie kabisa hakusaidii kwa lolote kwa kifupi kwa mapenzi ya nje hakupi kabisa.
 
Kwani we mapenzi kwako yana nje na ndani, basi we ni hatari, mama no one is perfect, kila mtu Mungu kamjalia chake, kumfikisha mwanamke, c mikito tu bali ni ushirikiano mzuri kati ya mke na mme panapo sita kwa sita na mawasiliano yako kwa mmeo ndio yatakufikisha unapotaka kwenda, so bora ukachukua alie mbovu kitandani na ukamfundisha ili akufikishe coz atakujali zaidi ukimuwezesha kuwa mwanaume kamili na atimizae majukumu yake, kuliko yule ambaye hana tyme, yaani ujue hapo wewe ni begi tu sasa utachagua kukaa mgongoni au kuburuzwa upo hapo bi mwasu
 
wwa kwanza wa ukweli
uyo wa pili ni mfanyabiashara maungo km makahabatu ..yeye yupo kikaz zaid ..anakuap ILEILE
uyo wa kwanza ni jambo la kuongea tu
ukienda nae hosptal kuna vtu vya kufanya na anakuwa trained then km kawa...
si tatizo saana ilo ili mrad tu km anadi.......so kuwa makini achana na uyo wa pili
wewe pia unaweza kumsaidia kwa kumfanyia a b c d ili asiwai kwenda kilimanjaro......POLE
 
we rose na mimi nifanyie A..B..C nisiwahi kufika kibo tafadhali hebu nipm mama
 
nimekupata ferds bt nje na ndani nikiwa na maana ya kitandani na upande mwingine ni huo wa kubembelezwa nje ya kitandani nadhani umenielewa
 
Huyo wa kwanza , MZUNGU( Mapenzi ya kushikana shikana, masimu kila mara, kumfungulia bibie mlango wa Gari.........Kazi ya sita kwa sita sahau!!!!!!

Wapili huyo, JIAFRIKA( Kazi kwa sana, hadi nguo kuchanika!!!!, lakini mambo ya kushikana shikana jikoni, Hallo darling... kila baada ya dakika kumi hamna)

Chaguo ni lako Mama!!!!!!!!
 
wwa kwanza wa ukweli
uyo wa pili ni mfanyabiashara maungo km makahabatu ..yeye yupo kikaz zaid ..anakuap ILEILE
uyo wa kwanza ni jambo la kuongea tu
ukienda nae hosptal kuna vtu vya kufanya na anakuwa trained then km kawa...
si tatizo saana ilo ili mrad tu km anadi.......so kuwa makini achana na uyo wa pili
wewe pia unaweza kumsaidia kwa kumfanyia a b c d ili asiwai kwenda kilimanjaro......POLE
nimekupata rose mana mambo magumu haya na yanasumbua mno kwakweli
 
Re: yupi mwenye afadhali

Huyo wa kwanza , MZUNGU( Mapenzi ya kushikana shikana, masimu kila mara, kumfungulia bibie mlango wa Gari.........Kazi ya sita kwa sita sahau!!!!!!

Wapili huyo, JIAFRIKA( Kazi kwa sana, hadi nguo kuchanika!!!!, lakini mambo ya kushikana shikana jikoni, Hallo darling... kila baada ya dakika kumi hamna)

Chaguo ni lako Mama!!!!!!!!

uciingie chaka la mzungu utakimbia shauri yako
 
Basi uelewa wako ukusaidie kufika kibo sawa na njema au sio mwasu ,maana unasema umenipata vilivyo
 
mmmh utata mtupu hapo chiko

Ukweli tuseme jamani, Wajua hizi Sinema za kimangaribi ndo za tudanganya, oooho hanipigiii simu kutwa nzima.... likifika nyumbani hata kiss hamna, Baada ya shughuli, hamna hata asante.......... Sisi waafrika bana, maadili yetu hayakubali.
 
vitu vingine ni vya kiustaarabu zaidi, huwezi kukaa kmasaa cku nzima hujajua hali ya mwandani wako inakwendaje, acha hayo mambo ya cnema hii ni ki2 nachoro(kiswahili zaidi) jitu hata asante halijui, kunavitu vingine suna bwana japo si fundermental ktk mapenzi ila vinakoleza penzi au sio mwasu
 
jamani tusaidiane kwenye hili,yupi mwenye afadhali kati ya watu hawa wawili
anayekujali saana tu muda wote anataka kujua unafanya nini anakutext asubuhi na mapema kukujulia hali anakusaidia shida zako zote kwa kifupi anakutekelezea kila kitu,BUT suala la kitandani ni sifuri yani anafika kileleni ndani ya dk mbili akikuacha hoi kwa kutokumaliza hamu
na huyu
wa pili yy yupo vizuri mno kitandani anakufanyia kila kitu na mpka unamaliza haja yako vizuri kwa kifupi kitandani yupo fit na kama hujaridhika atajitahidi mpka uridhike,BUT,suala la mawasiliano ni hakuna na hakuonyeshi kama anakupenda ama vipi akikupigia simu asubuhi ni mpk usiku au asikupigie kabisa hakusaidii kwa lolote kwa kifupi kwa mapenzi ya nje hakupi kabisa.

Masuala ya kukufikisha kileleni lazima uwe muazi kwake, akuandae na kumwambia ni kipi akifanye uweze kufika hapo kileleni. Mwambie ajiamini na asiwe na papala kwenye hilo tendo. Apunguze speed na asikamie saana maana kwa kufanya hivyo atakuwa mbinafsi yeye kunufaika wewe ndo baado. Ajitahidi kupumlia mdomoni zaidi kuliko kufumba mdomo na kupumlia puani inasaidia kuufanya mwili wake na viungo vya sehemu nyeti ku-relax na kukawia kumaliza. Acha ukimya kama unampenda na unaona anaweza kuwa mwanandani wako. Si wote wanaume wanacare, hiyo ni huruka/Inborn ya mtu. Zaidi, maamuzi yako mikononi mwako.
 
wwa kwanza wa ukweli
uyo wa pili ni mfanyabiashara maungo km makahabatu ..yeye yupo kikaz zaid ..anakuap ILEILE
uyo wa kwanza ni jambo la kuongea tu
ukienda nae hosptal kuna vtu vya kufanya na anakuwa trained then km kawa...
si tatizo saana ilo ili mrad tu km anadi.......so kuwa makini achana na uyo wa pili
wewe pia unaweza kumsaidia kwa kumfanyia a b c d ili asiwai kwenda kilimanjaro......POLE

Oy....Oy...Oy...
 
kuwa na wote wawili ndio mpango mzima.ukitaka mipesa,zawadi,simu every tym unapata na ukitaka magoli 8 kitandan unapata.
 
jamani tusaidiane kwenye hili,yupi mwenye afadhali kati ya watu hawa wawili
anayekujali saana tu muda wote anataka kujua unafanya nini anakutext asubuhi na mapema kukujulia hali anakusaidia shida zako zote kwa kifupi anakutekelezea kila kitu,BUT suala la kitandani ni sifuri yani anafika kileleni ndani ya dk mbili akikuacha hoi kwa kutokumaliza hamu
na huyu wa pili yy yupo vizuri mno kitandani anakufanyia kila kitu na mpka unamaliza haja yako vizuri kwa kifupi kitandani yupo fit na kama hujaridhika atajitahidi mpka uridhike,BUT,suala la mawasiliano ni hakuna na hakuonyeshi kama anakupenda ama vipi akikupigia simu asubuhi ni mpk usiku au asikupigie kabisa hakusaidii kwa lolote kwa kifupi kwa mapenzi ya nje hakupi kabisa.

Mbona mi niko caring kwa kila kitu na bado kitandani niko fit,hivi kuna watu ambao wanakosa sifa hizi,anyway wacha niwasome wachangiaji.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom