Yupi anastahili Tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu wa VPL?

Gide MK

JF-Expert Member
Oct 21, 2013
7,769
2,000
Mngekuwa na Data kuonyesha huyo babu Chama kafunga au ka assist goli ngapi na sio kuongea tu Kimbumbumbu
 

magagafu

JF-Expert Member
Jan 31, 2016
1,183
2,000
Ligi kuu ya Soka nchini inafikia ukingoni, mchzaji gani anapaswa kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa msimu kwa ligi kuu ya Vodacom?

Karibuni kwa maoni yenu...
Ki statistics ni Meddie kagere maana Hadi Sasa kafunga goli 22 na Assist anazo 7 wakati chama Ana anaongoza kwa assist Hadi Sasa 10 ila magoli ya VPL anayo magoli 2 kwaio unaona uwiano mzuri una mbeba Meddie kagere
 

Kelevra

JF-Expert Member
Nov 23, 2018
1,054
2,000
Mngekuwa na Data kuonyesha huyo babu Chama kafunga au ka assist goli ngapi na sio kuongea tu Kimbumbumbu
Cannavaro (2006) mchezaji bora wa dunia.....alifunga ngapi aka assist ngapi?
Weka stats zake kama unazo.
Luka Modric (2008) mchezaji bora wa dunia alifunga ngapi aka assist ngapi?
Zidane je? alikua na mi assist na migoli mingi wakati anakua mchezaji bora Mara zote hizo?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom