Yupi anapaswa kuwajibika ktk hili!!?

Aaron

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,019
4,693
Ktk mahusiano ya kimapenzi ni yupi anatakiwa kuwa mstari wa mbele ktk swala zima la mawasiliano yaani kumkumbuka mwenzi iwe ktk kupiga simu au kutuma sms. Make zipo kesi nyingi kila mmoja akimnyoshea kidore mwenzi kwamba hamkumbuki kumpigia simu wa kumtumia sms wa yeye hafanyi hivyo. Tusaidiane ktk hili"
 
ni jukumu la kila mtu
 
But wasichana/wanawake huwa wa kwanza kulalamika pindi usipompigia simu kwa mda mrefu hata kama una sababu ya msingi" wakati hakukumbuki hata kama ana salio la kutosha ktk phone yake, huku akitaka wewe uwajibike effectivelly"
 
ni la wote,
ila wanawake mara nyingi 'tunategea'...,
sijui kwa nini...?:redfaces:
 
samahani wakubwa....hivi kipindi kile hakuna mambo ya masimu simu mlikuwa mnakeep up vipi katika suala zima la mawasiliano?
 
I am too young to understand this issue and the more I think of it the more I get confused.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom