Yung Buck breaks down on the phone!!!

Icadon

JF-Expert Member
Mar 21, 2007
3,581
182
This is Sad and funny at the same time....I don't know how Buck will come back from this.....

Part 1
Part 2

Young Bucks response
Taped Conversation

"I would have never put [the call] out if he wasn't out in the middle of the show saying f me and I created him," 50 said
 
Buck is a bia bia.....hahahahahaaaa....watu wanajifanya wagumu kumbe hamna lolote....ahahahahahaaaa
 
Buck is a bia bia.....hahahahahaaaa....watu wanajifanya wagumu kumbe hamna lolote....ahahahahahaaaa

Ebanae sikubaliani na Fif kuleak hii kitu lakini dayuum!!! Buck naye amechemsha...I understand kila mtu ana emotions and all that lakini duh hii ilikuwa ni kupita kiasi especially baada ya kumdiss....
Anahitaji come back kubwa sana atafute ghostwriter
 
Hipo hop inakuwa mipasho-lelemama kama taarab.

Halafu tunataka kuwalinganisha hawa jokers na legends!
 
Ebanae sikubaliani na Fif kuleak hii kitu lakini dayuum!!! Buck naye amechemsha...I understand kila mtu ana emotions and all that lakini duh hii ilikuwa ni kupita kiasi especially baada ya kumdiss....
Anahitaji come back kubwa sana atafute ghostwriter

Mi naona size yake kabisa. Don't talk trash if you know you ain't real. Angefunga tu mdomo wake yote haya yasingetokea. So don't start none won't be none.......
 
Ila mojawapo ya raha za hip hop ni kubattle.....!!! sema ndugu yetu Fif took it to another level....inanikumbusha ile issue ya Jigga na picha ya Prodigy, Jigga kutaka kutoa $ 300,000 kutafuta video ya The Game au 2Pac na picha ya Faith Evans.....

Kumbe ule utemi wote akibanwa kidogo anaweza kutoa chozi hehe...asiombe akabeef na machizi kama TIP au Luda lazima wamvue nguo lol
 
Mi nimependa kamstari haka tu If real nigger cry then its real pain. Jamaa aliimba kwa huzuni na uchungu kama utafuatilia.Hivi kwanini asimtafute The Game akauomba msamaha wakatoa kitu cha ajabu?
 
Mi nimependa kamstari haka tu If real nigger cry then its real pain. Jamaa aliimba kwa huzuni na uchungu kama utafuatilia.Hivi kwanini asimtafute The Game akauomba msamaha wakatoa kitu cha ajabu?

Whether wakiungana au la na wakamdiss Fif..ukweli unabaki kuwa he made them!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom