Yule samaki asiyegeuzwa sasa ageuzwa upande wa pili..!

Steve Dii

JF-Expert Member
Jun 25, 2007
6,402
1,254
Yule samaki wa Boflo na Preta asiyegeuzwa sasa amepata mtaalam wa kumgeuza na kumla pande zote mbili!! Samaki huyo alionekana siku mbili zilizopita ziwa Eyas mpakani mwa kijiji cha Pichabora mkoani JF...


attachment.php

------------

attachment.php
attachment.php


-----------
attachment.php
attachment.php


 
Last edited by a moderator:
Wewe Poti unajifanya Khadija Kopa, kusema kwa mafumbo ngoja waje wenyewe wajuvi wa haya mambo. Watakubarasa, halafu watakuzukia huko huko Siberia!.
 
Ni aje Mkuu Steve Dii lol!

Uwe na weekend njema


 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom