Yule Profesa aliijibu tena hoja yake ya 'kichuguu na mlima'?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Wadau wana JF. Hebu nijuzeni -- hivi ilr hoja ya "kichuguu na mlima" ilikuja kujibiwa tena na Profesa baada ya kutokea hali halisi? Sijafuatilia sana suala hili. Na jee lilikuwamo katika mdahalo wa HR na FM? Maana sikubahatika kuona mdahalo kwa sababu ya mgao wa umeme!
 
Hawezi kuwa na nyimbo tena baada ya kipondo cha Oct 31!!! Tatizo la CUF ni kujisifu mno, na kujifanya wako straight kumbe ni vibaraka wa CCM!
 
Miye yangu macho. Ningependa sana angejitokeza kujibu vipi ikawa kichuguu kugeuka mlima, na kinyume chake.
 
Anashindwa kukubali kwamba wananchi wamemdhihirishia kumbe yeye ni kichuguu tu pamoja na madigrii yake!

Madigrii!!! Mugabe ana digrii sita lakini ona alikoipeleka nchi yake!!!
 
Hawezi kuwa na nyimbo tena baada ya kipondo cha Oct 31!!! Tatizo la CUF ni kujisifu mno, na kujifanya wako straight kumbe ni vibaraka wa CCM!

Bwehehehehe!!!!! Anayelia na "kipondo" (Kiswahili cha Mbezi na Kimara hicho) nani? Mbona watu wamekubali matokeo na life goes on ILA yule mzee wa mfuko wa cement buku tano na treni ya umeme mwz-dar masaa matatu (wavivu wa akili tu wanaweza kudanganywa) ndiyo analia "kipondo". Eti anangojea muda muafaka kutoa ushahidi! Bwehehehehe!!!!!!

By the way, mtu mwenye M.Sc. na Ph.D. ya uchumi kutoka Stanford University akilinganishwa na mtu mwenye Ph.D. ya mafundisho ya dini kutoka Vatican, tofauti yao hao wawili ni Mlima Kilimanjaro na kichuguu. Sasa kama wafuasi wa Vatican wakiamua kumpigia mwenye Ph.D. ya mafundisho ya dini kwa maelekezo ya kanisa lenye makao makuu Vatican, hiyo haiwezi kubadili ukweli.

Mgombea wa Urais wa CUF huko Zanzibar sasa hivi ni Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar. Mgombea mwenza wa Professor Lipumba ni mwakilishi na Waziri wa Afya wa Zanzibar.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom