MWITONGO MAARIFA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 276
- 1,428
Mkuu wa mkoa wa Dar amerekodiwa akipewa mikono na baadhi ya wananchi sijui sehemu gani lakini kwa jinsi mazingira yalivyo ni maeneo ya Moshi, ukiangalia watu walioandaliwa kujifanya wanalia na kumpa pole UTAGUNDUA binadamu akizoea kuabudiwa anaweza kufanya lolote ilimradi tu aonekane shujaa..
Anataka kumwambia Katibu mkuu hakupaswa kuomba msamaha
Anataka kuwaaminisha Watanzania yupo sahihi na anapendwa kumbe werevu wanatambua kuwa ukikosea unachotakiwa ni kuomba msamaha tu Basi.
MADARAKA YA KULEVYA
Hi ndio Aina ya viongozi tulionao kwa sasa wanaotaka tufike salama katika uchumi wa Kati.?