Yule mtoto ajirekodia akipewa mikono na wananchi, aaahaaa utukufu

MWITONGO MAARIFA

JF-Expert Member
Aug 11, 2018
276
1,000
Mkuu wa mkoa wa Dar amerekodiwa akipewa mikono na baadhi ya wananchi sijui sehemu gani lakini kwa jinsi mazingira yalivyo ni maeneo ya Moshi, ukiangalia watu walioandaliwa kujifanya wanalia na kumpa pole UTAGUNDUA binadamu akizoea kuabudiwa anaweza kufanya lolote ilimradi tu aonekane shujaa..

Anataka kumwambia Katibu mkuu hakupaswa kuomba msamaha

Anataka kuwaaminisha Watanzania yupo sahihi na anapendwa kumbe werevu wanatambua kuwa ukikosea unachotakiwa ni kuomba msamaha tu Basi.

MADARAKA YA KULEVYA

Hi ndio Aina ya viongozi tulionao kwa sasa wanaotaka tufike salama katika uchumi wa Kati.?
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
30,120
2,000

Wachaga bhana!
 
kifupi kirefu

Senior Member
Oct 29, 2018
188
1,000
Nimeangali ile video nikacheka Sana... Kumbe hata wakuu wa Mikoa wanahitaji wafariji?

Hapo ameambiwa ukweli tu nafsi inauma hivyo, je mzazi ambaye mtoto wake ametekwa na kupotezwa au kupigwa na kurejeshwa uraiani anapata maumivu kiasi gani?

Kama unaona unahitaji wafariji kwanini usiwe mfariji pia? Watu wanatekwa wanasiasa wamekaa kimya ila wao wakikosolewa tu wanataka watu wajae mtaani wawape pole.....

Tunaishi once na tutatoweka na kuacha watu wakizaliwa na kufanya MAENDELEO.

Hivyo ole wao wanaomwaga damu kwa kujiaminisha kwamba wanatetea Tanzania kumbe wanaibomoa...unahubiri ukabila kwa sababu TU unaishi kwenye nyumba ya uma na ulinzi mkali, siku yakikupata matajiri na viongozi hawawezi kujitokeza kukufariji

Tujifunze kwa huyu mtoto mtukutu asiyejua anataka nini
 
cmoney

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
2,774
2,000
Hivi kumbe hata Moshi kuna mazuzu?

Acheni Makonda afanye kazi! Yani hii siku moja tu kashaandaa watu?

Wivu ni mbaya sana
kwahiyo hadi katibu mkuu wa ccm ni zuzu,...hapo vijana wa Lumumba ndo mnapopotea kumnyanyua mtu kuliko misingi ya chama
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
8,836
2,000
Hivi kumbe hata Moshi kuna mazuzu?

Acheni Makonda afanye kazi! Yani hii siku moja tu kashaandaa watu?

Wivu ni mbaya sana
Mwanadamu ukimpa hela anaweza kufamya chochote. Haijalishi ni Mchaga au Myahudi.

London watu walipewa hela waandamane kumpinga mfalme wa Qatar alipokwenda huko. Waliolipwa na kuaandamana ni wazungu ambao sisi waswahili tunawaona ni werevu
 
Trillion

JF-Expert Member
Apr 24, 2018
731
1,000
Bashite kajaaliwa makalio kanyimwa akili. Achaneni nae huyo. Ni Dhaifu wa nafasi hilo, hana maana yoyote.
Kusema watu vibaya, Kutukana watu, kudharirisha watu, kukwepa ulipaji kodi afanye yeye.
Magufuli Muogope Mungu tuondelee huyu ibilisi wako kwa maslahi ya umoja wa kitaifa.
 
the truecaller

JF-Expert Member
May 8, 2019
749
1,000
Mkuu wa mkoa wa Dar amerekodiwa akipewa mikono na baadhi ya wananchi sijui sehemu gani lakini kwa jinsi mazingira yalivyo ni maeneo ya Moshi, ukiangalia watu walioandaliwa kujifanya wanalia na kumpa pole UTAGUNDUA binadamu akizoea kuabudiwa anaweza kufanya lolote ilimradi tu aonekane shujaa..

Anataka kumwambia Katibu mkuu hakupaswa kuomba msamaha

Anataka kuwaaminisha Watanzania yupo sahihi na anapendwa kumbe werevu wanatambua kuwa ukikosea unachotakiwa ni kuomba msamaha tu Basi.

MADARAKA YA KULEVYA

Hi ndio Aina ya viongozi tulionao kwa sasa wanaotaka tufike salama katika uchumi wa Kati.?
Muwe na shukurani kidogo,huyo mnaemuandama ndie huyo huyo aliyefanikisha zoezi zima la kumpokea mwendazake!!
 
the truecaller

JF-Expert Member
May 8, 2019
749
1,000
Wewe ni mpuuzi,unafaa kupuuzwa. Unamaanisha bila yeye zoezi lisingefanikiwa!?
Mwabudu Mungu bibie.
Acha ujinga,hata kama asingekuwawepo ingewezekana ndio,lakini alitimiza wajibu wake kwa hali na kiwango cha juu sana.
Sasa nyinyi na show wenu mkammalizia hasira za kupotelewa na mhimili wa kampeni.
 
wakatanta

JF-Expert Member
Feb 5, 2018
1,567
2,000
Mkuu wa mkoa wa Dar amerekodiwa akipewa mikono na baadhi ya wananchi sijui sehemu gani lakini kwa jinsi mazingira yalivyo ni maeneo ya Moshi, ukiangalia watu walioandaliwa kujifanya wanalia na kumpa pole UTAGUNDUA binadamu akizoea kuabudiwa anaweza kufanya lolote ilimradi tu aonekane shujaa..

Anataka kumwambia Katibu mkuu hakupaswa kuomba msamaha

Anataka kuwaaminisha Watanzania yupo sahihi na anapendwa kumbe werevu wanatambua kuwa ukikosea unachotakiwa ni kuomba msamaha tu Basi.

MADARAKA YA KULEVYA

Hi ndio Aina ya viongozi tulionao kwa sasa wanaotaka tufike salama katika uchumi wa Kati.?
Rubbish
 
Top Bottom