Yule mchezaji Bora wa muda wote ,Africa ( Samuel Eto's)ametangaza kustaafu soka hakuwa na miaka 38

kimbendengu

JF-Expert Member
Jun 7, 2013
6,075
10,356
Mchezaji Bora wa muda wote wa Africa Samuel Eto's ametangaza kutundika daluga huku akiwa na miaka 38 ,huyu jamaa pamoja na Rodaldinho walinifanya nimtoroke mchumba wangu usiku ,wakati mwingine hata vipindi vya dini siendi kisa tu mpira ,aisee hapana chezea etooooooo
 
Back
Top Bottom