Yule kocha wa yanga kutoka barcelona aliishia wapi?

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Apr 16, 2021
334
657
Imekuwa kurwa na dotto,

Kipindi hiki Simba SC wamepoteana sasa katika kuwaweka sawa mashabiki wanadai kwamba wamechukua kocha wa REAL MADRID kocha wa RONALDO.

Nakumbuka mwaka jana kipindi Yanga wamepoteana ikabidi wadai kwamba wana chukua kocha wa Barcelona Cedric 'Carzelona' Kaze
Pia mwaka Juzi 2019 Ajibu alikuwa Star wa Yanga sasa hivi Simba wamepotena Ajibu Star wa Simba.

UZI TAYARI
POVU RUKHSAA
 
Yule Tumempa Kazi ya Ukalimani pale Utopoloni FC.

Si umeona lakini tangu aingie Timu imekuwa ikipiga mapasi 791 ndani ya DK 45..?

Yes! Hiyo ni impact ya kutafsiri vyema kila Prof NABI anachotaka Vijana wafanye Uwanjani.

Yesssss. Karibu UTOPOLONI FC...
 
yaani
 
Feisal Fei Toto ni muungwana,wewe umeiba jina
JamiiForums1377994226.jpg
 
Back
Top Bottom