Yule Jamaa aliyekataa Mshahara wa Tsh 400M kampuni yake yashinda tuzo ya Tsh 340M

General Mangi

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
15,300
23,022
Hakika wenzetu hupewa elimu ya kujiajiri, elimu bora.

Kijana Mtanzania Benjamini anaemiliki kampuni ya Financial transaction NALA, imeshinda Dola za kimarekani 150,000 katika mashindano ya App duniani.

Benjamini alisoma MBA Stanford University, marekani aakimaliza akiwa na miaka 25.

Wengi tulimwona kama kachanganyikiwa baada ya kukataa ajira huko Marekani na kuja bongo.

Mnaosema vyuma vimekaza, wenzenu wanalegeza. Exposure inasaidia sana.

Hakuna kinachoshindikana
Screenshot_2018-12-11-19-28-45-054_com.instagram.android.jpeg
 
Hakika wenzetu hupewa elimu ya kujiajiri, elimu bora.

Kijana Mtanzania Benjamini anaemiliki kampuni ya Financial transaction NALA, imeshinda Dola za kimarekani 150,000 katika mashindano ya App duniani.

Benjamini alisoma MBA Stanford University, marekani aakimaliza akiwa na miaka 25.

Wengi tulimwona kama kachanganyikiwa baada ya kukataa ajira huko Marekani na kuja bongo.

Mnaosema vyuma vimekaza, wenzenu wanalegeza. Exposure inasaidia sana.

Hakuna kinachoshindikana
View attachment 964703
Kama ipo ipo tu!
 
kwa watu wenye akili tulijua tu... jamaa sio mpuuzi kukataa mshahara mnono marekani..

alikuwa na mipango yake mikubwa kichwani..

kina bill gate, uber tax founder, zuckerberg wakati wanaacha chuo kuna watu wengi waliwaona wapuuzi... kwa sasa wanaomba kazi kwenye kampuni zao
 
Siku hizi nakaribia kustaafu kujibu Pumbav. Watanzania wengi ni wapumbav na wajinga. Hebu soma tena ulichoandika na itafakari na kama bado utakuwa na msimamo ule ule basi tatizo ni shetani sio bure.
Nasema akatae na hizo, zote pesa. Sasa tangu arudi katusaidia nini sisi?! Haya angekubali ajira states asingetusaidia. Sasa kalipwa $150,000. Azikatae pia tumsifu.
 
kwakweli mawazo ya kitanzania ni ya kuhurumia. pengine angeukubali asingekuwa na kampuni binafsi kulingana na sheria za mikataba unajua baada ya hapo atakua levo zipi?
Hahaha hata yeye hajui atakuwa level zipi, life ya kubahatisha hii level atasubiri sana. Sasa kampuni ndio umeona cha maana?! Nenda Brela uone utitiri wa kampuni kisha waangalie wenyekampuni hizo. Hiyo App inaweza ndio iwe ya mwisho kwenye career yake.
 
Nasema akatae na hizo, zote pesa. Sasa tangu arudi katusaidia nini sisi?! Haya angekubali ajira states asingetusaidia. Sasa kalipwa $150,000. Azikatae pia tumsifu.
Duuhhh hivi jamaa unatumia ubongo kufikiria au kuna kiungo kingine unachotumia...
Kuna tofauti kati ya mshahara na kutuzwa.yeye alikataa mshahara mnono lakini ushindi wa app yake ni dalili tosha kuwa jamaa ana potential ya kufika mbali

Ukiona mtu yupo tayari kukulipa million 400 kama mshahara bhasi ujue yeye atapata faida zaidi ya unavyofikiria..yeye ameamua asitumike bali atumie kipawa na elimu yake kutengeneza pesa zaidi ya hiyo m400..
 
Back
Top Bottom