Yule Bwana hana mix ya humility na Intelligence inayotakiwa kuongoza nchi

The Businessman

JF-Expert Member
Jan 9, 2014
7,404
9,234
Ukiwa na humility kubwa na intelligence kubwa hiyo ni best mix(Nyerere)

Ukiwa na humility kubwa na intelligence ya wastani , unaweza kusaidiwa kuongoza nchi.(Mwinyi)

Ukiwa huna humility na una Intelligence kubwa unaweza kuendesha nchi .(Mkapa)

Ukiwa na humility ya wastani na Intelligence ya wastani pia unaweza kusaidiwa kuongoza nchi. (Kikwete)

Ukiwa huna humility wala Intelligence tena uko Conceited, hata kusaidiwa kuendesha nchi ni kazi nzito sana, maana utawatukana mpaka wanaokusaidia kuendesha nchi kwa kujiona wewe ni zaidi wakati huna lolote.

From Al-Watan
 
Nyerere was keeping himself simple in everything , malezi na makuzi kwa watoto wake, mavazi na muonekano wake akiwa madarakani hadi uraiani baada ya kustaafu, hakuwa na matanuzi wala ulafi wa aina yoyote, kila kitu kiliuwa chini yake lkn hakujilimikisha kitu chochote wala kuchikuwa nyumba za msajili. Hakubadiriaha mazingira ya kijijini kwake ili kuonekana kama nyumbani kwa rais. Yaani yule mwana adamu alikuwe mtu wa ajabu na wakipekee sana. Yes he was VERY HUMBLE AND FOR SURE VERY INTELLIGRNCE
 
Ukiwa na humility kubwa na intelligence kubwa hiyo ni best mix(Nyerere)

Ukiwa na humility kubwa na intelligence ya wastani , unaweza kusaidiwa kuongoza nchi.(Mwinyi)

Ukiwa huna humility na una Intelligence kubwa unaweza kuendesha nchi .(Mkapa)

Ukiwa na humility ya wastani na Intelligence ya wastani pia unaweza kusaidiwa kuongoza nchi. (Kikwete)

Ukiwa huna humility wala Intelligence tena uko Conceited, hata kusaidiwa kuendesha nchi ni kazi nzito sana, maana utawatukana mpaka wanaokusaidia kuendesha nchi kwa kujiona wewe ni zaidi wakati huna lolote.

From Al-Watan
Na wewe umekaa na kujipinda kuandika weeee, afadhali huyo muda ungeutumia kanisani badala ya kuandika utumbo
 
Back
Top Bottom