Mzee mgonjwa ana Parkinson. Mwacheni apumnzike jamani. Yupo kwake katulia.
Sumaye naye vipi?
Mzee mgonjwa ana Parkinson. Mwacheni apumnzike jamani. Yupo kwake katulia.
Ok kaka ngoja tuone.Kesho utamuona dodoma
Tuonyeshe picha ya mpango pia nimeshammis.
Duuh! atatumika kama rejea kwa wale wanaodhihaki afya za watu na kuwakadiria kuishi miaka michache.Huyu hapa waziri mstaafuView attachment 1731053
Kweli Mungu fundi aiseee,alieitwa mgonjwa na maiti inayotembea anadunda lakini wale waliojiua vyuma na miamba mpaka push up wakapiga sasa hivi washalamba udongo na wengine tarehe 26/3 tunawafukia.Huyu hapa waziri mstaafuView attachment 1731053
Mungu ni wetu soteKweli Mungu fundi aiseee,alieitwa mgonjwa na maiti inayotembea anadunda lakini wale waliojiua vyuma na miamba mpaka push up wakapiga sasa hivi washalamba udongo na wengine tarehe 26/3 tunawafukia.
Unataka kusemaje?picha hii ya leo,sema jingineHabari za chini ya kapeti sijui ni kweli
Anaumwa.Wakuu, nilikuwa nataka kujua alipo huyu mzee maana sijamuona kwenye izi pilika pilika za kumuaga baba etu pombe magufuli, maana uyu mdudu ( uvico 19 ) anacheza na vigogo tu.
Taarifa kwa ufupi.
View attachment 1731048
Huyu mzee..anyway..Mungu aingilie kati tu.Huyu hapa waziri mstaafuView attachment 1731053