Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 2,882
- 4,268
Nandy hasikiki? Unaakili wewe!!Ni kweli Mkuu ndiyo maana tunaona toka Rubby alipojitoa kwa Ruge amezidi kung’aa, na hivi Ruge kafariki so hawezi kubaniwa popote basi kazidi kufanikiwa sana sana sio Ruby yule...si ndiyo ehee.
Na yule Nandy aliekuwa anabebwa ndiyo kaporomoka hata hasikiki
Wakati Nandy na Rubby, Nandy ndiye anatamba for now
Nandy yupo kwenye chart