Yuko wapi Solo Thang?

Sijui bwana huyu yuko wapi..

Lakini mwezi March aliachia kibao chake kilichokwenda kwa jina la UCHU kamshirikisha Dully...kipo vyema sana.

Nyakati zimebadilika lakini wakishtua shtua mara moja vibao hawa wakongwe sio mbaya.
Ngoja nitakutafuta, na Barozi je?
 
Solo Thang Ulamaa.

Jamaa ni mmoja kati ya Rappers bora zaidi kuwahi kutokea ndani ya bongo...Sikiliza verse yake kwenye "Mkasa wa boss" au tafuta verse yake kwenye "kama unataka demu".

Alisononeka sana kwenye "kilio changu" kwa kina Shigongo kumpa tuzo ya "Mkali wa rhymes" Afande sele
 
Jamaa acha kuzingua jukwaa una uhakika kwamba huyo msanii ni mkali?

Mbona mwana unaleta masihara
 
solo thang anaishi ireland na yupo vizuri saaaaaana kimaisha na dollar soul au mnamwita balozi yupo marekani anaishi texas anasoma PhD now kama sikosei
kama haumjui balozi utakuwa umezaliwa kuanzia miaka ya 2003 kaka hakuna mtu asiye mjua dollar soul katafute ngoma yake ya kwenye chati
 
solo thang anaishi ireland na yupo vizuri saaaaaana kimaisha na dollar soul au mnamwita balozi yupo marekani anaishi texas anasoma PhD now kama sikosei
Shukran kwa kutoa taarifa zao za maisha.

Ni jambo la kupendeza sana kama wapo Safi kimaisha.
 
Solo Thang Ulamaa.

Jamaa ni mmoja kati ya Rappers bora zaidi kuwahi kutokea ndani ya bongo...Sikiliza verse yake kwenye "Mkasa wa boss" au tafuta verse yake kwenye "kama unataka demu".

Alisononeka sana kwenye "kilio changu" kwa kina Shigongo kumpa tuzo ya "Mkali wa rhymes" Afande sele
Wengine wananirubuni eti nashindania gari..
Wakati walishapanga wampe nani toka awali..
Sitorudia kosa hata zawadi waweke meli..
 
Sikiliza nyimbo inaitwa simu yangu ya Soggy dogg hunter feat Solo thang. Utajua Solo ni mtu wa aina gani. Pia sililiza Solo na mpenzi feat Mr. Paul
Mkuu!!! Hyo ngoma ya solo na mpenzi ni moja ya ngoma ninayoikubali kinoma inanikubusha mbali sana hii nyimbo mashairi yake bado yanaishi moyon mwangu solo ni moja kati ya wasanii wanaotumia fasihi vzur
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom