F Fao La Kujitoa JF-Expert Member Sep 17, 2016 396 966 Jan 23, 2021 #1 Huyu mwamba Mkongwe Mr. Paul yuko wapi siku hizi na anafanya nini? Aliimba huu wimbo kwenye video yuko na demu wa kihindi nakuzimia na Zuwena remix.
Huyu mwamba Mkongwe Mr. Paul yuko wapi siku hizi na anafanya nini? Aliimba huu wimbo kwenye video yuko na demu wa kihindi nakuzimia na Zuwena remix.
Vera ginger JF-Expert Member Dec 25, 2016 1,456 1,868 Jan 23, 2021 #3 Yupo nje ya nchi na kaoa mzungu na wana watoto 2 au 3 Nashani Australia
Kingsmann JF-Expert Member Oct 4, 2018 4,447 16,304 Jan 23, 2021 #4 Yuko zake uzunguni anakula maisha tuu na mzungu wake View attachment 1684165
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Apr 13, 2017 44,549 188,736 Jan 24, 2021 #7 Yupo sehemu anakula maisha vyema