Yuko wapi Sambwee Shitambala | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yuko wapi Sambwee Shitambala

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nicas Mtei, Apr 19, 2012.

 1. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #1
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Katika siku kadhaa zlzopta pamekuwa na vuguvugu la wanachama na viongoz wa CCM kuhamia CHADEMA. Hyo ni baraka zaidi kwa CHADEMA endapo watawatumia vzuri hao wahamiaji wakazi.

  Kwa haraka nikarejesha kumbukumbu nyuma nikakumbuku kuwa hata ccm nao walshawah kupokea kiongozi wa Chadema Mbeya bwana Sambwee Shitambala. Na alipokelewa kwa shangwe kubwa na Raisi Kikwete.

  Tangu kuhama kwake cjawah kumskia tena katika duru za siasa.
  Je yupo wapi? Bado yupo CCM? Anafanya nini?

  Mwenye taarifa za Shitambala atujuze..
   
 2. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Siku Zote wanaposema CCM ina wenyewe hawasikii.
   
 3. Mzururaji

  Mzururaji JF-Expert Member

  #3
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 1,236
  Likes Received: 597
  Trophy Points: 280
  Anakula bata
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Kwani yeye ni mtoto wa nani? Sisiemu ina wenyewe muulize rizimoko,naoa(sioi),le mutuz,adamu,fred,makongoro,hussein na abdullah etc
   
 5. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #5
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Aliondoka akifikiri ataikomoa CDM kumbe anajikomoa mwenyewe.
   
 6. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  hajapata cheo chochote magambani?
   
 7. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #7
  Apr 19, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Mtei One alifikiri kwenda magamba atapewa cheo cha mwenyekiti wa mkoa fasta fasta
  Kumbe anapokelewa kufanywa tuu mwanachama wa kawaida
  Na wameshamsahau utaona hata akijaribu kugombea cheo chochote kama watampa
   
 8. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Atakuwa yupo busy na kusimamia shughuli zake maana ilisemekana alipewa Million200 kuua Chadema Mkoani Mbeya lakini kwa bahati mbaya kafa yeye kisiasa. Kweli Chadema ni untouchable jamani
   
 9. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Mbeya hawezi kutembea wakati wa mchana, akijaribu huzomewa kanakwamba mtumzima chapombe kajinyea.
   
 10. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #10
  Apr 19, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Shitambala Huko aliko roho itakuwa inamuuma sana
   
 11. N

  Ndyali JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2012
  Joined: Nov 24, 2011
  Messages: 1,222
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Milioni 200 apewe na Magamba? Ilikuwa ahadi hewa kama JK alivyo waghiribu watu wa Kigoma kuwajengea uwanja wa ndege wa kisasa, hali akijua hata ndege pekee tuliyonayo Tz anashinda kuzurura nayo ughaibuni.
   
 12. babalao 2

  babalao 2 JF-Expert Member

  #12
  Apr 19, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,218
  Likes Received: 1,271
  Trophy Points: 280
  huyo alikana nguvu ya uma sasa laana iko juu yake, alikua hajakombolewa kfkra kwa hyo amerudi utumwan
   
 13. m

  mwanakidagu JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 208
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  pale karibu na mbeya fresh yupo kwenye kiofisi chake.cha uwakili.alikuja msibani sikumoja mama mwenye nyumba nilipopanga.alirest in peace.akasalimia.na kutoa uban elf 20.nikawasikia kina mama.wakisena huyu alitusaliti chadema.msaliti.badae akasepa.wa2 wakaanza kumchana mpaka bsi.nikasema kwisha hbr yake.aliahdiwa magamban uongoz mpaka kesho.mbaliz kwenyewe hutembea usiku.wanamuona kama mbaka demokrasia.walishirikiana na mzee wa gamba kipindi kile mzee kasendamira.kuhujumu kura za wana mbeya vijini.mzee yule baada ya kumhoji vp?uchaguzi.yeye akiwa katibu mwenez wa magamba mbea vijijini.kasema tumetupa pesa ming kulichukua jimbo.yupo.pale .nenda 2 utamwona mbeya fresh.hana mvuto.tena
   
 14. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #14
  Jun 15, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Hana nafasi yoyote Magambani?
   
 15. F

  Froida JF-Expert Member

  #15
  Jun 15, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Kijana kajiua kisiasa alinifurahisha wakati wa mijadala ya majimboni alivyokuwa na dira nzuri ,siha ya ushawishi na uweledi wa mambo kweli kila mtu huwa ana maamuzi yake , mkoa wake kichama wa zamani sasa umekuwa ndio chachu ya mageuzi kwa mikoa mingine ,magamba hayana hamu nao yote hiyo ni kazi aliyoshiriki wanafaidi wengine
   
 16. i

  isotope JF-Expert Member

  #16
  Jun 15, 2012
  Joined: Apr 4, 2012
  Messages: 2,404
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Hakuna kitu kibaya kama kusaliti nguvu ya umma. Laana kajitakia mwenyewe!
   
 17. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #17
  Feb 13, 2013
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Juliana na Mwampamba wajifunze
   
 18. D

  Dina JF-Expert Member

  #18
  Feb 13, 2013
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,824
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Hivi 'alistaafu' jeshi, au nimemchanganya?
   
 19. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #19
  Feb 13, 2013
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Akheri ya huyo alikuwa tayari kesha anza maisha na hapo alikuwa anamalizia tu. Sasa hawa ambao hawana kazi wanategemea siasa itabidi watafite mabasha ili waishi!!!
   
 20. kmbwembwe

  kmbwembwe JF-Expert Member

  #20
  Feb 13, 2013
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 6,425
  Likes Received: 1,394
  Trophy Points: 280
  Usiseme Mvaa Tai; yaani MILIONI mia 200 hivihivi tuu. Hakika hao waliompa walikata panga nyingi tu. CCM wanatoa wapi fedha za kugawagawa kuhonga watu kwa kazi za kipuuzi wakati akina mama wajawazito wanaambiwa wapande bajaj? Hii chama kweli ya walaji!!!
   
Loading...