lyalya
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 601
- 551
Huyu form four felier Kama mimi.Unaweza kakuta huyu ana elimu ya PHD, elimu ya bongo ni timing bomb. Duh!
Huyu form four felier Kama mimi.Unaweza kakuta huyu ana elimu ya PHD, elimu ya bongo ni timing bomb. Duh!
Huna hoja.Wakanushe nini? We hizi tetesi umezitoa wapi? Utakanusha mangapi? Msigwa yeye kazi yake itakuwa kukanusha tu? Hana kazi nyingine?
Ndio nani?
Nani alikutangazia kuwa Mkapa ni Anaumwa ....!!? This is a different era Bro!Kama uliambiwa kuhusu kuugua kwa JN, JK & Mkapa, halafu sasa unaona kimya, ndipo uamini ni uzushi kama uzushi mwingine. Halafu, unasema si kawaida yake kutoonekana kwa muda mrefu. Naona sasa unaishi kimazoea na kwa kukariri maisha. Pole sana. JPM is alive & well!!! Pls mark my words!!!
Aliewazushia kifo Mbowe na Mrema ni nani? si nyie MATAGA? Na gazeti lenu Jamvi 🤣 🤣 🤣 🤣Kwa hoja za kuzushia kifo? Walikuwa kwa sabaya now wamehamia kwa meko
Kwa mtu hadhi ya Rais, inawezekana. Kumbuka pia kuwa mtu kushambuliwa na virus wa corona haina maana kuwa ndivyo vitakavyomuua.Mh yaani mtu aumwe corona apelekwe India? Devil is a lie.
Aliewazushia kifo Mbowe na Mrema ni nani? si nyie MATAGA? Na gazeti lenu Jamvi