Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,410
- 3,548
Nguli huyu wa siasa amepotelea wapi? mbona yupo kimya sana au dhambi ya usaliti inamtafuna kimya kimya?
duh...Prof Lipumba yupo! Je wapi John Cheyo Mzee wa Mapesa?
Prof. Lipumba yupo, lakini ni kama ametumbukia baharini. Anaibuka, anapiga yowe na kuzama. Nyuma kidogo aliibuka na kudai mshahara na marupurupu ya Rais yawekwe wazi. Akabwabwaja mengi, akazama.Nguli huyu wa siasa amepotelea wapi? mbona yupo kimya sana au dhambi ya usaliti inamtafuna kimya kimya?
John Cheyo yupo,lakini wapi Mzee Kingunge?Prof Lipumba yupo! Je wapi John Cheyo Mzee wa Mapesa?
Bado ya vishoka na fyekeo.Naona thread ya vijembe imeanzishwa
Prof. Lipumba yupo, lakini ni kama ametumbukia baharini. Anaibuka, anapiga yowe na kuzama. Nyuma kidogo aliibuka na kudai mshahara na marupurupu ya Rais yawekwe wazi. Akabwabwaja mengi, akazama.
Hivi karibuni akaibuka tena na kudai akimshauri JPM aongoze nchi huku moyoni akidhamiria kupata tuzo ya Mo Ibrahim. Akazama tena.
Ulikuwa wapi? Kaa standby maana haijulikani saa wala siku atakapoibuka tena na kusema nini.
Prof. hakuwahi kuwa msaliti na roho yake ilimwongoza vema kabisa pale alipojitoa UKAWA. Mungu ambariki.
Usijitoe ufahamu, wasaliti ni Mbowe na kk ya CHADEMA kwani walisaliti misingi imara iliyokibeba CHADEMA kwa kumkaribisha EL.
Hadi utuambie kwanza nini maana ya mahana ndio na sisi tutakujibu swali lako,mfyuuu!Tuanzie hapa nini Mahana ya usaliti? Sabb vijana wengi wanapenda kuandika vitu paspo hata kutambua nini Mahana yake
typing errorHadi utuambie kwanza nini maana ya mahana ndio na sisi tutakujibu swali lako,mfyuuu!
Hadi utuambie kwanza nini maana ya mahana ndio na sisi tutakujibu swali lako,mfyuuu!