Yuko wapi Producer Mona Gangster?

Maproducer wana hali mbaya, Zesti sasa hivi pamoja na hiti zote alizo myengenezea Aslay karibia 14,ila sasa hivi ukimnunulia mzinga mkubwa wa Konyagi ana kunyongea biti. C9 kapiga chini maswala ya uproducer sasa hivi kafungua banda anauza mitumba. Huyo S2kizzy sasa sababu wa moto baada ya miaka miwili anarudi kwenye msoto.

Halafu wasanii kila siku wanalalamika wanaibiwa ila wanasahau wao wana waibia sana maproducer na kuwakatisha tamaa.
weee acha Zest huyu huyu wa "SUKARI"?
 

Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom