Yuko wapi Pius Lugangila aliyeshiriki mapinduzi ya kujaribu kumpindua JK Nyerere?

Pius Mutakubwa Lugangira aka Father Tom au Uncle Tom ndio alikua mastermind and pay master wa ule mpango

Yeye ndio alitakiwa kua mstakiwa namba moja kama angefikishwa mahakamani na sio Hatibu Ghandhi au Hatty McGhee kama alivyokua anajulikana

Namimi hua najiuliza iliwezekana vipi kwa jamaa kutoroka kutoka gereza la Ukonga kwa kutumia chopper! Mimi hadi leo akili yangu inagoma kukubali kua tukio lile eti lilipangwa watu wa kawaida wasiokua na mafungano na vyombo nyeti vya dola

Huu nafikiri ulikuwa mpango wa kupiga fedha za malkia kupitia Kambona na pengine kujua mamluki ndani ya geshi. Ukiangalua hata capt Hans Pope rip ni kama alikuwa dabali agenti.
 
Back
Top Bottom