Hivi wale waliahidiwa kazi na Magufuli na Polepole itakuwaje?
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Amalia mbele ya baba mkwe?Huyu analaana ya kulia bungeni bila sababu tena mchozi ya mwanaume mzima mnafiki uyoo
Hana ujanja huo yuleIna maan wakati wa ubunge hakujenga dar? Au fedha za malipo ya ubunge anashindwa vipi kuish dar?
AhaaSio mwanasheria kasomea library alikuwa saint francis hapa anapanga vitabu tu
Hahahhaa akifinyiwa ndani sijui itakuwajeAmalia mbele ya baba mkwe?
Akiwa na mkewe faragha atafanya Nini?
Alifikili yeye ni mkubwa kuliko chadema,yupo anawinda ndege kwa manati.Alitumiwa na Ndugaye kuichafua cdm na baadae yeye akatupwa kwenye dust bin
Naona mleta uzi anasema mwanasheria msomiAmesomea UKUTUBI huko iringa na s mwanasheria
Msaliti uyo si amkalilie tena mshamba uyo kijana .kubwa linalia mbele ya bunge kisa kunfurahisha meko na timu ya mabush starAmalia mbele ya baba mkwe?
Akiwa na mkewe faragha atafanya Nini?
acha zako bwana mchana huu,Hahahhaa akifinyiwa ndani sijui itakuwaje
Alikuwa hajajua hiloMfuteni machozi, aliangua kilio akiwa bungeni. Siasa tz ni mchezo mchafu sana.
Kwisha habari zakeAlifikili yeye ni mkubwa kuliko chadema,yupo anawinda ndege kwa manati.
Kwakuwa sasa hivi hana anaye muunga mkono basi naye siku zake za kubakia bungeni zinahesabikaNdie dikteta pekee aliyebakia
Ndiyo washapigwa kipigo cha mbwakoko tayariHivi wale waliahidiwa kazi na Magufuli na Polepole itakuwaje?
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Huyu boya alinishangaza sana, unaliaje kinafiki vile?Huyu analaana ya kulia bungeni bila sababu tena mchozi ya mwanaume mzima mnafiki uyoo
Ndiyo laana yenyewe kutokana na vilio vingi na Mungu kaamua kuwatandikaKuna watu wamekuwa zaidi ya wajane mfano veronica france, Afande sele hadi kumtukana Mungu.
Namuhurumia sana Nasari kama Mama asipomkumbuka atakuwa Mgeni wa naniNdiyo washapigwa kipigo cha mbwakoko tayari
Hilo jamaa naona hata kuingia cdm ilikuwa ni bahati mbaya sana
Kwa kumtazama kwa macho ya kawaida naona mama hana mambo ya kutaka watu wa kumwimbia nyimbo za mapambio kama alivyokuwa jiwe.Namuhurumia sana Nasari kama Mama asipomkumbuka atakuwa Mgeni wa nani
Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
Siyo penyewe..... umeikoseaHahahhaa akifinyiwa ndani sijui itakuwaje