Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 121,947
- 95,237
Atakuwa anajuta sana maana kasahaulika vibaya sana.Kazi ya dekio ikiisha linatupwa mbali
Atakuwa anajuta sana maana kasahaulika vibaya sana.Kazi ya dekio ikiisha linatupwa mbali
Sio mwanasheria kasomea library alikuwa saint francis hapa anapanga vitabu tuMwanasheria wakati taaluma yake hajawahi ifanyia kazi
Ova
Ipo naona kawakodishia watu wa PLANHivi ile nyumba yake aliiuza??
Kama nilimfuta mwendazake katika siasa za bonge naye ninamfutilia mbaliAtakuwa anajuta sana maana kasahaulika vibaya sana.
Amesomea UKUTUBI huko iringa na s mwanasheriaMwanasheria wakati taaluma yake hajawahi ifanyia kazi
Ova
Sio mwanasheria kasomea library alikuwa saint francis hapa anapanga vitabu tu
Hivi unaelewa maana ya mtoto wa mujin? Kuishi ifakara ana ujanja gan mkuu? Khaa ..hebu hili neno liheshimiwe aiseNi mtoto wa mjini
Na mm naongeza wapi alipo Joshua nassari?Yuko wapi mbunge kijana, Machachari, Mpambanaji, Mwanasheri kitaaluma.
Ambaye alikuwa mbunge wa Morogoro kwa tiketi ya CHADEMA.
Aliwahi kusema ni heri awe bodaboda kuliko kuendelea kutomuunga Mkono Hayati Magufuli.
Hapo ndiyo vizuri ili ajue kuwa usaliti ni dhambi kuuChizi huyu yupo hapa ifakara anazungukazunguka tu na kanzu .magu alimuahidi u dc awamu ya pili sasa kafa nae hana chake kaishis kumuoa binti wa ndungae tu halafu nani alikwambua huyu ji mwanasheria ? Labda bush lawyer
Mlio karibu naye mjihadhali sana akiwapakia usiku maana anaweza kuwapiga kabaliAmekua bodaboda mzuri wa mfano,anakesha stand
Mwenyewe amekalia kuti kavuNdugai atimize ahadi yake ya kumpatia kijana kazi.
Kuna watu walilia sana kuliko hata watoto wa mwendazake.Atakuwa alilia kilio cha mbwa koko kama Afande sele baada ya matumaini ya teuzi kuota mbawa
Hakujua kuwa Ndugaye ni zaidi ya msanii
Ina maan wakati wa ubunge hakujenga dar? Au fedha za malipo ya ubunge anashindwa vipi kuish dar?Hivi unaelewa maana ya mtoto wa mujin? Kuishi ifakara ana ujanja gan mkuu? Khaa ..hebu hili neno liheshimiwe aise
Kuna watu wamekuwa zaidi ya wajane mfano veronica france, Afande sele hadi kumtukana Mungu.Kuna watu walilia sana kuliko hata watoto wa mwendazake.
Mfano wake kuna jf member hapa anajiita kipara kipya.
Alilia hadi ndugu wa marehemu wakaanza kujiuliza kama jamaa ni mmoja wa familia yao.
Mlio karibu naye mjihadhali sana akiwapakia usiku maana anaweza kuwapiga kabali
Ndie dikteta pekee aliyebakiaMwenyewe amekalia kuti kavu