Yuko Wapi? Ni Dr. Alec Chemponda; Mwanasiasa na Msomi wa Sayansi ya Siasa!

Sophist

Platinum Member
Mar 26, 2009
4,484
3,400
Wasifu
Mwenyekiti wa Shina, CCM -Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam 1980s-1991
Mhadhiri Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala 1980s-1991
Katibu Mkuu wa Kwanza wa CCW (CUF) 1991-1992
Mwenyekiti-Taifa, Tanzania Peoples Party (TPP) 1992-2003
Mjumbe wa NEC, TLP 2005-2006.
Yuko wapi sasa? Mwenye habari zake atuwekee hapa.
 
yupo dar niliona binti yake chemi chemponda kwenye blog yake akiwatumia hongera ya kuadhimisha miaka sijui mingapi ya ndoa yao.
 
yupo dar miezi michache binti yake alitoa wedding anivesary yao kwenye blog yake.
 
yupo dar miezi michache binti yake alitoa wedding anivesary yao kwenye blog yake.

Huyu Mzee Kiboko. Namkumbuka na chama chake cha TPP. Kuna wakati alikuwa akipiga kampeni akawa analala chumba kimoja na katibu mkuu wa chama chake wakati wakiwa huko mikoani. Katibu mkuu alikuwa mwanamama. Chemi alipoulizwa akasema wanabana matumizi!!!!
 
Dah umefanya nicheke sana...hawa ndio walitakiwa kupewa nchi wanaojua uchumi sio wa kusomea kama vasco ila kimatendo kama chemponda!
 
Umenikumbusha story ya Mwanamume na Mwanamke ambao sintataja walikuwa akina nani na walikuwa wakilala pamoja ili wabane matumizi kama huyu Mdingi uliyemsema hapa chini.

Alipokuja Mkuu wao na kukuta kitanda kimoja, akawauliza inakuwaje. Wakamjibu kuwa huwa wakilala, wanaweka ubao katikati yao ili wasigusane. Sasa Mwanaume akaulizwa kama hamu ikimshika anafanyaje? Akajibu kuwa anatoka nje kwenda kupunga upepo hadi mashetani yatulie (balcony). Mwanamke na yeye akajibu hivyohivyo.

Wakaulizwa swali la mwisho: Sasa mkishikwa na hamu wote kwa pamoja inakuwaje?
Wakaangaliana na wakajibu: Ubao unakwenda Balcony :)

Huyu Mzee Kiboko. Namkumbuka na chama chake cha TPP. Kuna wakati alikuwa akipiga kampeni akawa analala chumba kimoja na katibu mkuu wa chama chake wakati wakiwa huko mikoani. Katibu mkuu alikuwa mwanamama. Chemi alipoulizwa akasema wanabana matumizi!!!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom