Yuko wapi Mzuwanda wa kimara resort

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,071
15,929
Huyu kijana mzee sijamsikia kitambo
Sana, ni moja ya magentleman wa mjini wenye hela bila kelele toka enzi hizo.
Kabla hata Freeman hajaingia kwenye siasa huyu ni mshkaji wamedance wote.
Ashamiliki bendi,bureau de change vituo vya mafuta kibao, bila kusahau night clubs na bar.
Style ya kuhonga vitara mkubwa huyu ilikua kiulaini kimyakimya wadada wakazikoga sana,
Lyumba labda alikua kwao kijijini huko anajifunza kupiga dili.
Yuko wapi huyu humble brother asiye na fujo nyingi mdomoni ila utaitikia naam akifanya mambo.
Hakuna kelele Hakuna fujo hapa tumeweka kambi.
Brother Mziwanda popote ulipo kuna mfano mabosi wa kibongo waige toka kwako.
Salamu zikufikie :)
 
Aisee yupo vizuri ki hali na mali, Kampuni yake Jambo Freight Ltd bado iko kwenye Game ikiwa imeajiri zaidi ya watu 150 sambamba na malorry ya kubeba container zaidi ya 50 aina ya VOLVO.
pia bila kusahau kwa upande wa KI IMANI AU KIROHO yuko vizuri zaidi nani ni Mchungaji, pale Bahama mama ndiyo kuna kanisa lake Unakaribishwe sana. Ameamua kumfuata YESU na kumtumikia BWANA, Kwenye kanisa lake sadaka siyo KIPAUMBELE , NENO LA BWANA NDIYO KIPAUMBELE.
 
Yupo vyuma vimekaza siku hizi ni konda kwenye basi la hood
Joe Mziwanda awe Kondaaaaa.............wewe unachekesha.......!!!! ni Kijana Mzee aliyeamua Kubadilika Sasa hivi ni Mchungaji wa Kanisa na Pale Bahama Mama amegeuza Kanisa wakati Kampuni yake akimuachia Mwanae na Jamaa Mmoja anaitwa Kachenge wakiiendesha......kwa kweli ukienda kwa kampuni yao utadhani Kuna WADHUNGU jinsi palivyo pasafi na wafanyakazi walivyo wasafi with Uniform siyo za ''Kajamba nani''..........kwa kweli Management yake iko powa sana...........Hata Serikali za Mitaa na CCM wamesaidiwa sanaaaaaaaaaa na Jamaa huyu...........................
 
Umemuulizia mtu ambae sie ma "born city" nduo tunaweza kumfahamu, humu JF wengi kama asilimia 99 hivi wamekuja mjini 2000s kusoma ndio wakaishia watamjulia wapi huyo kijana wa zamani wa mjini Joe Mziwanda? Na best yake Mahindi waliomiliki Jambo Freight.. jamaa atakuwepo vizuri tu mara ya mwisho nilinsikia akiwa Tabora kwenye investments zake huko.Watoto hawa jf waulize akina sijui kihumbe au namusoma ndio watawajua mjini wamekuja na mbio za mwenge.
 
Mzee Mahindi ame retire sasa, mtu mzima, yupo mid 70's, Joe bado anapeta na JF, hawa ni moja wa matajiri tunaojivunia Dar, wametengeneza pesa, wame provide services, (Jambo Freight, Chick King, Muffins, Entertainment (Bahama Mama), Healthy (Gym), Real Estate), Petrol Stations, Kilimo (Tumbaku), Role Models wetu hawa, hongera zao...
 
Jamaa yuko fit sana kusema kweli na hana mbwembwe sijui pedeshee blah blah.
Alikua mtu wa story sana na yeyote yule.
 
Mzuwanda ''alijifanya'' ameokoka na alikuwa anasali kanisa la mama mchungaji, Dr, Mheshimiwa ,pale Mlima wa moto,pale kanisani alikuwa anakula hindi teke moja la Kisukuma, hilo hindi lilikuwa la kijana mmoja,baadae akaondoka na kuanzisha kanisa lake pale kwenye kituo chake cha mafuta Baruti.Unaambiwa hilo hindi teke lilianza kumfanyia vituko kijana wake baada ya kuwezeshwa na baba ,lakini hali ikabumbuluka na kijana akaamua aangalie hamsini zake na kama haitoshi mzee nae akamtosa baada ya hindi kuanza kuliwa na viserengeti/vimario baada ya hilo hindi teke kuwa na mkwanja wa kufa mtu ambao alikuwa akinufaishwa na mzee,habari zikamfikia mzee na mzee akakata kamba,hindi teke nalo likaanza kunyauku baada ya kukosa mshiko wa baba ,mwishowe hadi hela ya pango akawa hana na amebaki leo kalala Sinza ,kesho Kimara ,keshokutwa Mbagala hata daladala alizozisahau kuzipanda nazo zinamshinda.Hindi teke limekuwa choka mbaya na hata Serengeti nao wameota mbawa.
 
Back
Top Bottom