Mr. Politician
Member
- May 16, 2008
- 74
- 7
Huyu bwana alikua mstari wa mbele sana katika kumtengenezea muungwana njia ya kuelekea ikulu na tafiti zake zilizokuwa zimejaa uzushi. Sasa najiuliza kipindi hiki ambacho muungwana anamhitaji ze most huyu jamaa hajitokezi tena kumsafishia njia. Maswali ya kujiuliza ni je Mukandala
Ameshaona JK habebeki tena
Yupo bize na uchaguzi wa DARUSO
Au hata yeye ameshapoteza nguvu yake ya ushawishi