Yuko wapi mwekezaji wa treni wa Mwakyembe?

Jk raisi mpendwa, raisi anachukulia mambo poa, kwa ujinga mwingi wa mtanznia akasifiwa baada ya mambo kuwa magumu. Tanzania ni nchi ya kipumbavuuu... sana yenye raia wa kipumbavuuu...sana. Tuna safari ndefu.
 
Wewe darasa la 7 utaniambia nini mimi mwenye digrii 4 ? labda uniambie mfuko wako hauna hela ili nikusaidie - Mwakyembe
 
Wewe darasa la 7 utaniambia nini mimi mwenye digrii 4 ? labda uniambie mfuko wako hauna hela ili nikusaidie - Mwakyembe
Na hizo kauli zake za dharau ndiyp zimemfukuzisha kwenye ulimwengu wa siasa!

Sijui kwanini hakuwa na kaba ya ulimi bwana yule!

Hivi mawaziri waliokuwa na taaluma kabla, akipukutishwa kwenye uwaziri, aweza rudia kushika chaki tena?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom