Yuko wapi mwanasiasa Zitto Kabwe?

Good People

JF-Expert Member
Aug 6, 2016
945
1,817
Najiuliza ameshakufa kisiasa au? Maana asikiki kabisa wafuasi wa Chama Chake Kipya wamekua wakiachia ngazi siku hadi siku lakini yeye amekua kimyaaa hata kwenye mitandao ya Kijamii hasikiki.


Kama hajaenda kwa matibabu nje ya Nchi kimya chake kinanipa wasiwasi huyu huenda akaja kuibukia CCM maana siasa za Upinzani zimekua ngumu sana kutokana na Umahiri wa Rais Magufuli katika kuongoza Nchi.
 
huyu jamaa haja mfuata mwenzie yule kwa akina ccm make alimsifia sana sizonje ingawa aliwananga kuwa ng'ombe waliokatika mikia lkn kaenda hvyo2 nadhan nae kamfuta baada ya act kuanza kumeguka vpande vpande2!
 
hl la kuwa tajir nadhan linaweza kuwa na mashko make angekuwa na njaa kama mwenzie yule alikatika mkia sizan kama angesalia huko hata mngwira nasikia anamkubal sana sizonje! iko cm wote watatimkia huko!
 
Dhu! kumbe amewowa! kwa hiyo ndo ile hadithi ya Delila kumkamata Samson imetimia au? :D:D:D
 
Back
Top Bottom