Yuko wapi Mtatiro?

kasinge

JF-Expert Member
May 22, 2011
1,259
319
Tangu anyanganywe(eti! alikuwa amepewa) unaibu katibu Mkuu bara CUF hasikiki tena kaka huyu kana kwamba ndo ulikuwa mwisho wa mbio zake kisiasa. Je alikuwa anatekeleza job description ya position yake na sasa hana JD kwa hiyo hasikiki tena? Mi nilikuwa najua ni mwanaharakati, sasa napata wasiwasi kwamba sio. Ebu tujuze wenye kujua anashughulika na nini hasa enzi hizi za ukawa.
 

Attachments

  • Mtatiro.jpg
    Mtatiro.jpg
    104.7 KB · Views: 429
Jana nimemuona Marrioti hotel ubungo external,tuliangalia pamoja mechi ya Arsenal vs Man U. Yupo..zaidi anapatikana facebook.
Yupo hapa hapa Dar nadhani atahamia ACT soon.
 
Jana nimemuona Marrioti hotel ubungo external,tuliangalia pamoja mechi ya Arsenal vs Man U. Yupo..zaidi anapatikana facebook.
Yupo hapa hapa Dar nadhani atahamia ACT soon.
mkuu acha porojo atahamia ACT wewe ni mke wake unakaa naye mpaka unajua mambo yake
 
Haonekani kama enzi enzi zile za chuo kabla ya kujiunga CUF na baaday ya kujiunga. Ni mtu mkubwa aendeleze harakati maana ana uwezo w kuita hata media.

Yupo Dsm anapambana kama kawaida, hata kwenye hili la Escrow yupo mstari wa mbele kupigania pesa yetu irudi....!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom