Tangu anyanganywe(eti! alikuwa amepewa) unaibu katibu Mkuu bara CUF hasikiki tena kaka huyu kana kwamba ndo ulikuwa mwisho wa mbio zake kisiasa. Je alikuwa anatekeleza job description ya position yake na sasa hana JD kwa hiyo hasikiki tena? Mi nilikuwa najua ni mwanaharakati, sasa napata wasiwasi kwamba sio. Ebu tujuze wenye kujua anashughulika na nini hasa enzi hizi za ukawa.