Yuko wapi Moses Machali baada ya kuhamia CCM mpya?

Hivi huyu jamaa yupo hapa nchini au kashapangiwa ubalozi WA nchi Fulani? Maana kaapotea sana kwa kweli ukizingatia kuwa ccm mpya ni ya hapa kazi tu, wapi yeye anapigia kazi?
ATAUNGANA NA MURO HIVI KARIBUNI! KWANI HAPA KAZI TU INGEKUWA KIPINDI CHA JK ANGESHAPEWA CHEO KWASASA AENDELEE KULIMA MIHOGO KIGOMA
 
Kazi ya siasa ni kama marathon unapokea kijiti unakimbia ukifika kwa mwenzio unamkabidhi anaendelea, ila kuna watu wamegeuza siasa njia za kujipatia kipato yaani hawataki kuachua mabaraka kabisa,

sasa wewe uenyekiti wa chama tu hutaki kutoka mfano mbatia dovutwa cheyo ukipewa ikulu je? Siutageuka sultan!
 
Back
Top Bottom