Yuko wapi Moses Machali baada ya kuhamia CCM mpya?

Kazi ya siasa ni kama marathon unapokea kijiti unakimbia ukifika kwa mwenzio unamkabidhi anaendelea, ila kuna watu wamegeuza siasa njia za kujipatia kipato yaani hawataki kuachua mabaraka kabisa,

sasa wewe uenyekiti wa chama tu hutaki kutoka mfano mbatia dovutwa cheyo ukipewa ikulu je? Siutageuka sultan!
Na Mbowe mbona humsemi...?
 
Kwan kumuunga mkono mkulu ndio uptr nafasi unaweza kumuunga mkono kwa njia za kujiajiri binafsi
 
Hivi huyu jamaa yupo hapa nchini au kashapangiwa ubalozi WA nchi Fulani? Maana kaapotea sana kwa kweli ukizingatia kuwa ccm mpya ni ya hapa kazi tu, wapi yeye anapigia kazi?
Ccm ina tabia za wahindi. Wahindi wakishakutumia vya kutosha,wanakuweka pembeni. Unakuwa thamani yako imekwisha
 
Yule anasiasa za maji moto,yaan hatuliii kila anapokaaa njaa inauma utaona tunasikia kahamia CHAUMA maana vingine kamaliza
 
Si ndo ukweli..hana kaz anashinda analea watoto hom wife anaenda kazini...anategemea mshahara wa mkewe kuishi
 
Machali amekuwa kama mgonjwa, anajificha ficha wakuu. Njaa imembana kazi yake ni kupiga watu sound na kuondoka na mkwanja
 
Back
Top Bottom