siasa za msimuHivi huyu jamaa yupo hapa nchini au kashapangiwa ubalozi WA nchi Fulani? Maana kaapotea sana kwa kweli ukizingatia kuwa ccm mpya ni ya hapa kazi tu, wapi yeye anapigia kazi?
Hivi huyu jamaa yupo hapa nchini au kashapangiwa ubalozi WA nchi Fulani? Maana kaapotea sana kwa kweli ukizingatia kuwa ccm mpya ni ya hapa kazi tu, wapi yeye anapigia kazi?
ATAUNGANA NA MURO HIVI KARIBUNI! KWANI HAPA KAZI TU INGEKUWA KIPINDI CHA JK ANGESHAPEWA CHEO KWASASA AENDELEE KULIMA MIHOGO KIGOMAHivi huyu jamaa yupo hapa nchini au kashapangiwa ubalozi WA nchi Fulani? Maana kaapotea sana kwa kweli ukizingatia kuwa ccm mpya ni ya hapa kazi tu, wapi yeye anapigia kazi?
Usiingilie kazi ya YericoKuna mdau alinidokeza kwamba kaamua kujikita kwenye kilimo cha mchicha
Kivipi mkuu????Usiingilie kazi ya Yerico
Huwa najiuliza kazi ya mkia ni nini? Hii kauli ya ng'ombe aliyekatwa mkia ni nzito kidogo..ukizingatia mkial huwa karibu na sehemu ya kutoa uchafu na huenda ukikatwa na kazi yake huisha.Yeye mwenyewe hajielewi yuko wapi, akistuka 2020 hiyo na yy kakatika mkia.
Hivi nae alihama?namtafta mkosamali