Yuko wapi mkali John M. Simbamwene?

GAZETI

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
5,281
6,696
Namuulizia yule mkali wa Riwaya pendwa ambaye alitamba sana miaka ya 80 na 90
ambaye alikuwa anawatumia Ispekta FOG, Kachero HAJI n.k nazikumbuka sana Riwya zake kama vile OPERESHENI SUKUMA NAMBA NANE, ORODHA YA WATAKAOUWAWA, WA MWISHO KUFA, AKUANZAE MMALIZE, MAUAJI LOJINGI, KIVUMBI UWANJANI n.k
 
Yupo hai kweli? maana nilisoma vitabu vyake nikiwa kijana na sasa nimezeeka.
 
Back
Top Bottom