Yuko wapi mkaka/mdada aliekuwa anakupenda sana kipindi hicho ukamkataa and viceversa

Kula mbussu hiyo weye sii inajileta yenyewe

Mkuu unafikili huwa sili nakula sema tunapashia vipolo juu kwaju yani nilimchana live tu kuwa mapenzi yangu kwake hayapo tena tuishie kutafunana na kuinjoi hapa na pale lakini mahusiano nae sihitaji tena ila hadi kesho anatamani na ana ndoto tuludiane ila alishanitoka akilini jao vipolo huwa tunapasha
 
Safi mkuu umefanya vyema kumueleza ukweli kuwa hapo ni kigegeduana tuu. Uzuri wanakuwa waelewa hawa viumbe maana naonwanapenda de libolo hao
 
We used to have good moments together. Ndugu zangu walimfahamu nao nyumbani kwao walinifahamu. Alipomaliza A level nikamsaidia mpaka mitihani ya TOEFL mimi nikiwa 3rd year UDSM , alipoenda Germany kusoma hakurudi tena (mawasiliano yalikuwepo ndani ya miaka 3 ya mwanzo) mpaka baada ya miaka 5 akiwa na mumewe mzungu.
Kilichoniumaga ni pale aliponiambiaga "The distance love doesn't work on her side" so akaamua awe na mtu wa palepale chuoni kwao. Yote yalishapita now ni marafiki wakawaida though kuna muda huwa anashikwa na hisia kali tukiwa tunawasiliana na kukumbushiana urafiki wetu.
 
Duu pasha kipolo mkuu bado una nafasi hapo
 
Swala la kiporo liko wazi sana kati yetu, kwasasa tunaishi mikoa tofauti tena ya mbali I mean from one angle of Tanzania to another na inapotokea mmoja akatembelea mkoa aliopo mwenzake huwa tunaonana na kufurahia some exprolations beneath her beauty. Ila ndoa ndio hakuna hata mama ake huwa anasikitika kwa hilo maana si kwa jinsi vile tulivyokuwa alafu leo We ain't awaking under the same roof
 
Waliachana na mzungu wake?
 
Mkuu hapo sawa ila mlitakiwa mfanye kitu inaonesha bado kunaupendo kati yenu
 
Waliachana na mzungu wake?
Mzungu yupo nae na huwa anakuja bongo kipindi cha winter in Germany. Mwanamke yuko hapa anasimamia NGO yao, so kipindi kirefu huwa anakuwaga mwenyewe busy na miradi yao Arusha.
 
Mkuu hapo sawa ila mlitakiwa mfanye kitu inaonesha bado kunaupendo kati yenu
Upo sahihi kabisa coz hata mama ake huwa ananiulizaga "why did you guys fail to make it happen for your last and final-life commitment?". Huwa namjibu muulize mwanao ndiye mwenye majibu ya swali hilo.
Familia zetu/family friends tangia tupo wadogo bado zinatembeleana mara chache in holidays.
 
Upo sahihi kabisa coz hata mama ake huwa ananiulizaga "why didn't you guys fail to make it happen for your last and final-life comittment?". Huwa namjibu muulize mwanao ndiye mwenye majibu ya swali hilo.
Familia zetu/family friends tangia tupo wadogo bado zinatembeleana mara chache in holidays.

Fanya jambo mkuu muunganishe family kiukweli ukweli aisee hapo chance unayo 95% sababu mpo tangu udogoni
 
Umwambie awe anaongea tu Kiswahili, Kingereza hakimpendi.
Mimi ndiye niliyemisspell word commitment na pia kwenye "Didn't" keyboard imejiauto rewrite. It was supposed to be DID. Ushauri wako umechukuliwa hata hivyo. Thanks
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom