Yuko wapi mkaka/mdada aliekuwa anakupenda sana kipindi hicho ukamkataa and viceversa

Wivu wa Nini hapo na wewe D, sina utoto huo, saiv kakalia kiti teule itakuwa kampata wa kupendana nae, sijawasiliana nae muda mrefu tangu nimpongeze na uteuzi basi sijamtafutaga tena
Kumbe ulimpongeza! siyo karoho kaliuma vile?
 
Wakati niko chuo undergraduate, nilikuwa naamini katika kupata mke wa kuoa chuoni. Basi nikaanza pilikapilika. Enzi hizo akina dada wachache university. Kulikuwa na 3 niliokuwa naona wananifaa. Jaribu jaribu, wapiiii. Hakuna kitu. Wanaonipenda, siwapendi. Ninaowapenda, hawanipendi. Basi nikamaliza chuo hivyo hivyo, kibingwa bingwa. Nilivyokuwa postgraduate ndio nikapata mweza. Sasa wale warembo 3 nilikuwa natafuta mmoja wapo - wawili ni ma-single mother mpaka leo, mmoja ndiye alifanikiwa kuolewa.
Hawaonyeshi interest na wewe baada ya kuwa single mother?
 
Mimi huwa nawatongoza wanawake wanaoonekana wanaheshima/watu wa dini lengo langu ni kumpata bikra nitakae mpenda sana.

Lakin bahati mbaya Licha ya muonekano wao wa kidini sijawahi kubahatisha bikra ila Nina bahati ya kuwa wao huwa wananipenda sana lakin ninawaacha kikatili kwakua moyo wangu unahisi tayari Wana watu wao waliokwisha kupendana kabla ya uwepo wangu

Ninawaacha na kuendelea na safari yangu ya kutafuta mwanamke ambae Mimi ndo nitakua mpenzi wake wa kwanza

Hivyo katika hao nilio achana nao mimi upendo wangu unafutika na sibakizi hata chembe ya upendo wangu juu yao, nafanya haya yote kwa kuzingatia husia huu "Owa mwanamke unae mpenda na usioe mwanamke kwa kumuonea huruma"
Sasa we unataka uwe wa kwanza kwako bila wewe kuwa wa kwanza kwake!!
 
Wamechoka sana. Walikuwa ma-beauty queens UD. Mimi nikiwa kama Mpoki na Joti wa enzi za ITV. Sasa niko km Mpoki na Joti wa hivi sasa. Hawawezi kunitaka kwa vile nina familia na wanajua hivyo. Of course, watakuwa wanatamani familia yangu - hali ya kuwa na baba, mama na watoto.
hawaonyeshi interest na wewe baada ya kuwa single mother?
 
Fikiria zaidi mkuu! Usitafute mke kwa vigezo hivyo, utajichukia bure
Mkuu natafuta mwanamke bikra hakika mimi nimetulia sana na nikimpata nitampenda sana na ikiwa yeye atanipenda pia huyo ndo nitakae muoa
ila kwa ambae nitamkuta siyo bikra nitaachana nae bila kuyajali machozi yake hata anipende vipi, kwakua nikimuoa moyo wangu hautaacha kuhisi nimeoa mpenzi wa mtu hivyo sitaweza kumpenda

Na nisipo pata nipo tayari kutokuoa kabisa .
 
Wamechoka sana. Walikuwa ma-beauty queens UD. Mimi nikiwa kama Mpoki na Joti wa enzi za ITV. Sasa niko km Mpoki na Joti wa hivi sasa. Hawawezi kunitaka kwa vile nina familia na wanajua hivyo. Of course, watakuwa wanatamani familia yangu - hali ya kuwa na baba, mama na watoto.
Walipishana na gari ya mapesaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom