Ni muda mrefu sijamsikia Mhe.Saada Mkuya - Waziri wa zamani wa Fedha wa awamu ya nne. Pole sana Mama kwa kufanya kazi kwenye mazingira magumu ya kazi huku wenzako wakipiga pesa kama kawa. Ulilaumiwa sana kwa ajii ya ukosefu wa fedha kwa ajili ya miradi maendeleo lakini haukuwa na namna yeyote wakati nchi ikiliwa na mchwa. POLE SANA MAMA YETU KWA UADILIFU WAKO.