Yuko wapi Meja Sigela Nswima na Kapteni Jaka Mwambi?

Na Mzee Pisu Ng'wandu?
Mzee Paul Kimiti?
Mzee Paul Sozigwa?
Mr. Nalaila Kiula?
Mr. Matheo Qaresi?
Amir Jamal?
Alnuur Kassam?
 
Kaldinali (ingawa usahihi ni Kardinali km ulimaanisha hivyo) Kapteni Jaka Mwambi ndiye Balozi wetu nchini Russia baada ya kutumikia akiwa mkuu wa wilaya mbalimbali nchini ikiwemo Masasi (wkt JK ni katibu wa CCM Masasi) na baadae kupanda kuwa mkuu wa mkoa wa Rukwa na baadae Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) nafasi inayoshikiliwa na Mwiguku Lameck Madelu Nchemba kwa sasa.
 
Last edited by a moderator:

Asante mkuu pale Russia atakuwa alimrithi mzee Chokala
 
Major Segela Nswima alifariki kitambo kidogo possibly kama 2006/2007 sina hakika sana kuhusu mwaka,na alizikwa kwao mpanda.
 
paul kimiti mara ya mwisho nilisikia yupo ofisi ya raisi mipango,akishirikiana na akina mzee wasira.

Huyu Mzee ni one of the finest civil servants our country has ever had. The likes of Jackson Nyakirang'ani, Moses Nnauye & Jackson Makweta.
 
Major Segela Nswima alifariki kitambo kidogo possibly kama 2006/2007 sina hakika sana kuhusu mwaka,na alizikwa kwao mpanda.
Nswima ni uncle wangu, na taarifa za kifo chake ni sahihi kabisa kama ulivyosema hapo juu. Alifariki pale Lugalo Hospital tulipokuwa tukimuuguza akitokea Oyster bay Hospital.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom