Yuko wapi magessa mulongo

Hata kama amekufa kweli lakini watu wanatakiwa kujifunza name kutambua kwamba kuna maisha mengine baada ya dhamana za kikazi (kiserikali). Kuna sheria, kanuni na taratibu zinazoongoza utendaji. Sheria na kanuni zipo kwenye maandishi, taratibu mara zote zinaendana na busara. Ndio maana kiongozi anaweza akawa anasimamia sheria na kanuni kisawasawa, lakini anapokosa busara mambo huwa tofauti. Nadhani Mulongo yupo kundi hili na ndio maana watu wanapenda kujua alipo. Haya ni mawazo yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hajafa ila alizushiwa kifo mwanzoni mwa mwaka huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom