Yuko wapi Lowassa?

Mzee Lowasa haonekani siku hizi, yuko wapi? Tuna hamu tumuone na tumsikie zile busara zake. Tunatamani tumsikie atie neno kuhusu nchi yetu leo.

Mara ya mwisho kumuona ni siku aloporejea CCM pale Lumumba na kwa mbali niliona kapicha kwenye Social media akipokelewa Monduli baada ya kurejea CCM.


Wako wengi ambao siwaoni siku hizi lakini kwa ujumla wao salamu ziwafikie kupitia kwa Mtatiro.

Anaejuwa alipo Mzee Lowasa atwambie.
Mwacheni mzew wetu apumzike. Mwendo ameumaliza
 
yuko lumumba anapanga mikakati ya uchaguzi wa 2020. mnamtafuta wa nini?
 
Back
Top Bottom