Yuko wapi Lowassa?

KISHADA

JF-Expert Member
Oct 18, 2012
2,224
3,290
Mzee Lowasa haonekani siku hizi, yuko wapi? Tuna hamu tumuone na tumsikie zile busara zake. Tunatamani tumsikie atie neno kuhusu nchi yetu leo.

Mara ya mwisho kumuona ni siku aloporejea CCM pale Lumumba na kwa mbali niliona kapicha kwenye Social media akipokelewa Monduli baada ya kurejea CCM.

Wako wengi ambao siwaoni siku hizi lakini kwa ujumla wao salamu ziwafikie kupitia kwa Mtatiro.

Anaejuwa alipo Mzee Lowasa atwambie.
 
Kwani Dr Mashinji yuko wapi?!
 
Mkuu nenda monduli kama una kiherehere cha kumwona mzee ana hesabu kura milioni 6 azikabidhi
 
Halafu kwenye hatua za awali za msiba wa mzee mengi huyu lowassa sijamsikia wala kumuona.....itakua ameshachotwa tena akili huyu kibabu
 
Back
Top Bottom