Yuko wapi Lemutuz mzee wa ma beibe?

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,174
2,000
Nilimkuta kwa fundi Bajaj akimgombeza mbaya dereva wake kwa kutotimiza hesabu,
Mim pia nlikuwa natengeneza kibajaj changu dereva alikisusa kwa ubovu
Tulifanya mkutano namna Bora ya kuwakomoa Hawa madereva namshukuru kwa mawazo yake
 

PROF NDUMILAKUWILI

JF-Expert Member
Mar 25, 2016
9,717
2,000
Nilimkuta kwa fundi Bajaj akimgombeza mbaya dereva wake kwa kutotimiza hesabu,
Mim pia nlikuwa natengeneza kibajaj changu dereva alikisusa kwa ubovu
Tulifanya mkutano namna Bora ya kuwakomoa Hawa madereva namshukuru kwa mawazo yake
Dah madogo wa bajaji nyoko wanampasua kichwa mjanja wa mjini harafu mbona haipigiagi promo hii biashara yake online
 

blance86

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
1,576
2,000
Mwamba ana matatizo ya moyo ndio maana kapoa sasa hivi
Nilimuona Mtwana Cafe Siku moja akiwa na dogo mmoja naona huyo dogo alikuwa anawasilisha slip za bank za mapato ya Bajaji . Alikuwa amevalia Kanzu. Na Noah yake ikawa imebaki kwa nje. Alionesha kuchoka fulani bila FURAHA sana. Kuna kipindi alilazwa muda hospital hivi alikuwa anasumbuliwa na maradhi gani? Maana hiyo aliibeba kwa siri sana.
 

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
9,644
2,000
Zamani ilikuwa ukimuanzishia thread, anasubiri ifike page ya pili aje kujibu, sijui sikuhizi hayupo humu?
 

screpa

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
9,644
2,000
Screenshot_20210115-135905_1610709914702.jpg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom