Yuko wapi Kinana?

Ukawa Bwana,walivosimama Mkapa Na Mwinyi Mkasema Ccm Wamezidiwa Wanawaleta Hadi Marais Wastaafu Waongeze Nguvu,wameacha Kupiga Kampeni Mnaibuka Tena Oh Wamesusa Kumpigia Kampeni Magufuli,mpo Upi Ndugu Zanguni?Kila Siku Maneno Yenu Mnayatema Na Kuyameza Kwanini?Ccm Inawatu Wengi Nashangaa Mnamuulizia Huyo Tu,na Nyie Mtei Yupo Wapi?Kisa Nyie Silaha Zenu Zote Mmeziweka Hadharani Basi Mnataka Na Zetu Tuzionyeshe?
 
Back
Top Bottom