Yuko wapi K.bazil aliyeimba Riziki?

Mzalendowetu

Member
May 22, 2012
87
34
Huyu mshikaji nilikuwa namfagilia sana kutokana na wimbo wake wa Riziki. Mashauri yake yametulia sana. Ni wimbo ambao hautachuja kwani unagusa maisha yetu ya kila siku.
 
namkumbuka sana huyu msomi aliyeingia kwenye mziki, wenye taarifa naye watakuja kutueleza zaidi
 
K Bazil yupo ila inasemekana kuwa ameokoka na kuachana na uimbaji wa bongo fleva na kujikita kwenye uimbaji wa
gospel,ambapo may 2011 alizindua wimbo wake wa Yesu Ananipenda.Hapa akiwa na mkewe Perida Mdegella wakiwa kwenye ndoa yao iliyofungwa mwaka 2010 desemba,mkewe pia alikuwa mwimbaji wa kwaya zamani. bazil[1].jpg
 
K Bazil yupo ila inasemekana kuwa ameokoka na kuachana na uimbaji wa bongo fleva na kujikita kwenye uimbaji wa
gospel,ambapo may 2011 alizindua wimbo wake wa Yesu Ananipenda.Hapa akiwa na mkewe Perida Mdegella wakiwa kwenye ndoa yao iliyofungwa mwaka 2010 desemba,mkewe pia alikuwa mwimbaji wa kwaya zamani.View attachment 76963
Nashkuru sana Mkuu yani bila hii picha nisingemkumbuka... Duh!
 
yupo
kawe,kanisa
la
ufufuo
na
uzima
kwa
mchungaji
josephat
gwajima,
anamtumikia
mungu
.
 
Kama sikosei yupo Morogoro kama Mchungaji ktk moja ya makanisa ya Gwajima.Binafsi nilimfahamu sana kipindi hicho akiishi Sinza,alikuwa na aina ya maisha ambayo ukiambiwa sasa ni mlokole unashukuru Mungu.Hapo ndio inabidi tuamini Mungu anaweza kumbadili yeyote.
 
Ana undugu na mtoto wa mkulima nn?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom