Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,014
- 144,371
Au wewe ndio Job?Siumii roho, sina sababu. Nakusaidia uondokane na majungu uwe mtu wa uhakika!
Au wewe ndio Job?Siumii roho, sina sababu. Nakusaidia uondokane na majungu uwe mtu wa uhakika!
Hapana, Ulaya na Marekani tunaenda kubembea tu kama enzi za JK.Hivi bavicha mnapaona Ulaya ni mbinguni?
Mstaafu hana choice bwashe. Mbona Rais mstaafu anakuwa Mkuu Wa Chuo Kikuu chochote kile cha Serikali?Majukumu kuzidi yale ya Spika?
labda nido bwana Jobu mwenyewe huyu!!!Mbona unaumia roho?!
Au Lema!Hapana, Ulaya na Marekani tunaenda kubembea tu kama enzi za JK.
Maruwe , ruwe auí ½í¸í ½í¸í ½í¸
Kumbuka kilichompata Mwinyi miaka ile alipojaribu kumtunishia misuli mchonga menoBaada ya kusoma habari(heading (katika gazeti moja kuwa mkewe kasema mumewe aachwee apumzike, nimeanza kupata hisia huenda atakuwa amepelekwa nchi moja ya Ulaya au Marekani akatulie kuondoa streets, kukwepa waandishi na pia kujiweka sawa kisakkolojia.
Sijasoma ndani lakini kwa jibu hilo kwa mwandishi wa gazeti, ni wazi Job yuko mahali salama, ila probabilblly nje ya nchi kwa baraka za wakubwa na huenda alipoitwa Magogoni hii ilikuwa ni moja ya agenda (aende wapi au aishi vipi kwa kipindi hiki).
Kama alikataa kuuza utu wake, basi atakuwa tu nyumbani kwake hatoki nje ya geti na hata kusali haenda.
Kazi sana!
CCM ya mdomoni au hii ccm ya wa Zanzibar?Ndugai yupo kwake Na kapumzika tu ila Sisi wapinzani tunaoona kila jambo ni agenda tunavamia! Na CCM watampa Majukumu soon tunaosema tuko CCM ndani acha habari za Wabrash Viatu vijiweni
Ndio. Kama majukumu makubwa zaidi ya Uwaziri waliyopewa Prof. Kabudi na Mzee Lukuvi!Majukumu kuzidi yale ya Spika?