Yuko wapi James Lembeli aliyeahidi kurudi CCM mbele ya Magufuli?

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,818
5,007
Yuko wapi huyu mzee wetu ambaye kwa moyo mweupe alitoa ahadi mbele ya Rais Magufuli kuwa yuko tayari kukatwa mkia na kwa kurudi ccm kwa kuwa Magufuli anashughulika na Suala la Ufisadi ambalo ni miongoni mwa vilivyomkimbiza huko?

Yuko wapi kwa anayejua tafadhari atueleze?
 
Hakupewa cheo alichotarajia

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom