Yuko wapi imeldaB

Redpanther

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
2,813
3,765
Habari zenu wakuu katika jambi letu hili pendwa. Leo nataka kuelezea vile nilivyojikuta nimenaswa kihisia na mtu mmoja aitwaye imeldaB . Huyu bidada alikuwa anatafuta mume mie nikasema wacha nijaribu bahati yangu.

Daaah nikaingia inbox nikajieleza mtoto wa kiume akaniambia nipe namba yako nikutafute. Sikuwa na shida nikawa nimemtoa namba, lakini cha kushangaza huyu mtu nimejikuta namuwaza sana hata simgahamu vyema maana tulipanga tukutane yugahamiane ila baada ya kumpa namba kapotea mazima.

Hivyo basi nawaomba mmwambie imeldaB kuwa kuna mtu anaweweseka natamani nimuone huyu bidada hata asipokuwa wangu ila nimuone moyo wangu umeenza kubutwa kihisia na huyu mtu. Imelda kama utakuwa unasoma hili bandiko tafadhari nitafute. Daaah, niitieni huyu imelda 🥺

Happy dude
 
Kwa hiyo za kwake hakukupa? Inawezena ni demu wako ulipompa namba akaona kitanuka akasepa, si unajua mambo ya id fake
 
Kuna watu hunaswa kirahizi sana humu JF hasa kama ID ni ya kike na imewekwa avatar yakuvutia,kua muangalifu sana kugawa gawa hovyo namba yako,sio kila ID ya kike basi ni ya kike kweli,sio kila anayetafuta Mume au Mke basi ni kweli ana shida hiyo,hizo sometimes ni gear tu za kuwapata watu kama wewe kirahisi tu.
 
Watu mna vijineno ulitegemea kutafutwa hujatafutwa sasa kila muda ulikuwa unaangalia simu yako, kila ukiona namba ngeni unajua ni yeye, nahisi huenda ulisha pokea namba ngeni ukasema, nahisi ni wewe imelda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wakuu katika jambi letu hili pendwa. Leo nataka kuelezea vile nilivyojikuta nimenaswa kihisia na mtu mmoja aitwaye imeldaB . Huyu bidada alikuwa anatafuta mume mie nikasema wacha nijaribu bahati yangu. Daaah nikaingia inbox nikajieleza mtoto wa kiume akaniambia nipe namba yako nikutafute. Sikuwa na shida nikawa nimemtoa namba, lakini cha kushangaza huyu mtu nimejikuta namuwaza sana hata simgahamu vyema maana tulipanga tukutane yugahamiane ila baada ya kumpa namba kapotea mazima.

Wasiojulikana hao! We endelea kujimwambafai anakuchora tu
 
Watu mna vijineno ulitegemea kutafutwa hujatafutwa sasa kila muda ulikuwa unaangalia simu yako, kila ukiona namba ngeni unajua ni yeye, nahisi huenda ulisha pokea namba ngeni ukasema, nahisi ni wewe imelda.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa kama mimi ni ImeldaB nimtafute imelda wa aina gani tena ??

Happy dude
 
Kuna watu hunaswa kirahizi sana humu JF hasa kama ID ni ya kike na imewekwa avatar yakuvutia,kua muangalifu sana kugawa gawa hovyo namba yako,sio kila ID ya kike basi ni ya kike kweli,sio kila anayetafuta Mume au Mke basi ni kweli ana shida hiyo,hizo sometimes ni gear tu za kuwapata watu kama wewe kirahisi tu.

Duuuh basi mzee... kuanzia leo sitoi namba kirahisi. Japo mie niliwahi kula tunda kustyle hiyo hiyo.

Happy dude
 
Kwa hiyo za kwake hakukupa? Inawezena ni demu wako ulipompa namba akaona kitanuka akasepa, si unajua mambo ya id fake

Binafs nimelihisi hilo.! Maana siku hiyo hiyo akanipigia manzi yangu akawa ananiita ita ooh sijui imekuwa hivi. Mwenyewe nahisi kuna ukweli

Happy dude
 
Kwa taarifa yako huyo mtu ni mwanaume na ana wake wawili...

Ila si vibaya kama na wewe umeamua kumpenda....

Kama ni mwanaume basi akakalie dole la kati huko, mie sina uhitaji wa mchele mchele. Nahitaji demu tunyanduane na kama tuielewana tunayajenga

Happy dude
 
Habari zenu wakuu katika jambi letu hili pendwa. Leo nataka kuelezea vile nilivyojikuta nimenaswa kihisia na mtu mmoja aitwaye imeldaB . Huyu bidada alikuwa anatafuta mume mie nikasema wacha nijaribu bahati yangu. Daaah nikaingia inbox nikajieleza mtoto wa kiume akaniambia nipe namba yako nikutafute. Sikuwa na shida nikawa nimemtoa namba, lakini cha kushangaza huyu mtu nimejikuta namuwaza sana hata simgahamu vyema maana tulipanga tukutane yugahamiane ila baada ya kumpa namba kapotea mazima.
Hivyo basi nawaomba mmwambie imeldaB kuwa kuna mtu anaweweseka natamani nimuone huyu bidada hata asipokuwa wangu ila nimuone moyo wangu umeenza kubutwa kihisia na huyu mtu. Imelda kama utakuwa unasoma hili bandiko tafadhari nitafute. Daaah, niitieni huyu imelda 🥺

Happy dude
Kaolewa now anakaa Kunduchi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom