multiple
JF-Expert Member
- Feb 14, 2016
- 389
- 627
Habari wakuu...
Nieende moja kwa moja , kama kichwa kinavyosema hapo.Leo nimepita hapa Mikumi. Katika kushangaa shangaa nikakumbuka bwana mmoja wa JF. Huyu bwana @K4life na story zake nyingi za majanga yake ya mikumi (hahahaahah)..yan huyu bwana matukio yoote ya ajabu alishuhudia yeye.. sijamskia siku nyingi.
Uko wapi mzee mzima K4LIFE...Zile story kunawakati tunapunguza stress zetu katika kuisoma namba .. Tunakuhitaji bhaaaana..